Sunday, March 30, 2014

YANGA YAVURUGWA 2-1 NA MGAMBO, MBEYA CITY YAINYONGA 1-0 PRISONS, MTIBWA YAINYAMAZISHA COASTAL, JKT RUVU MAMBO SAFI, AZAM FC MOTO WA KUOTEA MBALI, YAILAZA SIMBA 2-1 NA KUPAA ZAIDI KILELENI, UBINGWA WANUKIAAAAAA!!

yanga sc vs mgambo jkt

 

 HIVI NDIVYO MASHABIKI WA MBEYA CITY WALIVYOCHANGIA DAMU JANA KABLA YA MECHI YA LEO DHIDI YA PRISONS!!

1604509_443154392497610_302486423_n
 
Kauli ya Mbeya City: “Asanteni mashabiki kwa kuokoa maisha ya watanzania wenzetu wengi kwa kijitolea damu kiasi hiki kikubwa cha damu mlichokitoa itaisaidia nchi nzima na si Mbeya peke yake kwa kweli MUNGU awabariki sana hii ni zaidi ya huruma maana akina mama wengi hupoteza damu nyingi baada ya kuijifungua, ajali nyingi hutokea, na pia wagonjwa ni wengi wenye kuhitaji damu asanteni mashabiki wetu kwa huruma yenu. sasa tuelekee uwanja wa Sokoine leo tuiunge mkono timu yetu ili iweze kuondoka na ushindi dhidi ya Tanzania Prisons. Amen
Post a Comment