Wednesday, April 23, 2014

HALI HALISI YA MAFURIKO WILAYANI KYELA

Hapa ni. Kajunjumele, Mbunge wa kyela Dr  Mwakyembe  akikagua barabara iendayo bandari mpya ya kiwira
BARABARA ZIMEGEUKA ZIWA NYASA
WANANCHI WA KYELA WAKIONDOA MAGOGO YA MITI KATIKA MOJA YA DARAJA ILI KUEPUSHA UHARIBIFU ZAIDI

KAZI YA WATU NA MASHULENI MAJI YAMEJAA MAWASIRIANO YAMEKUWA MAGUMU NA HUDUMA ZA KIJAMII ZIMESIMAMA
Post a Comment