Monday, April 7, 2014

"Mbeya hadi Iringa ni Km 33O kuna tichi 25 na ile ya Ipogolo ya 26 hii ni wastani wa tochi 12.69 kila km. imezidi ile ya Tukuyu Mbeya Km 68 tichi 4 ni wastani wa Km 17 kwa tochi, ujumbe ajali mbona zinazidi kila kukicha!?"

KUTOKA KWA MDAU JUMA LIGANJA; Mbeya hadi Iringa ni Km 330 kuna tichi 25 na ile ya Ipogolo ya 26 hii ni wastani wa tochi 12.69 kila km. imezidi ile ya Tukuyu Mbeya Km 68 tichi 4 ni wastani wa Km 17 kwa tochi, ujumbe ajali mbona zinazidi kila kukicha!?
Post a Comment