Thursday, April 3, 2014

Sitta atembelea kamati mbalimbali za Bunge la katiba

1a 02749
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta(katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati namba mbili(2) jana mjini Dodoma alipotembelea Kamati hiyo kujionea maendeleo katika uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya. Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Shamsi Vuai Nahodha na Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda
2a f64b9
12 539b5
61 36dfe
Mjumbe wa Kamati namba kumi na mbili ya Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akichangia jana mjini Dodoma wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta alipoitembelea Kamati hiyo kujionea kazi inayoendelea ya uchambuzi wa sura ya kwanza na Sita katika Rasimu ya Katiba mpya.
Post a Comment