Friday, April 4, 2014

TEMBEA UJIONEE LUFILYO BUSOKELO WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

MUONEKANO MZURI WA SAFU ZA MILIMA YA LIVINGISTON WILAYANI RUNGWE KATIKA HALMASHAURI YA BUSOKELO LUFILYO

MAPOROMOKO YA MAJI KATIKA SAFU ZA MILIMA YA LIVINGISTON WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

HAPA NDIO NYUMBANI KWA PROF MARCK J.  MWANDOSYA

MIRADI YA MAJI YA HALMASHAURI YA BUSOKELO NI KUTILILIKA BILA KUWEKA KOKI KWAKUWA MAJI NI MENGI SANA HIVYO KATIKA MABOMBA YA JUMUIYA MAJI HAYAFUNGWI

KIJANA WA LUFILO SEC AKINYWA MAJI KWA SATAIL YAKE HUKU WENGINE WAKISUBIRI ZAMU YAOKUPATA MAJI


MFUMO WA UVAAJI WA SKETI YA SHULE LAZIMA IFIKE CHINI NA ISIYO BANA
HUYO MWANAFUNZI WA KULIA KAAMBIWA SKETI YAKE NI FUPI HAITAKIWI INATAKIWA KAMA YA MWANAFUNZI WA KUSHOTO

HAPA NI SEHEMU YA KUPIKA VYAKULA NA WATU HUFIKA KUNUNUA HAPAHAPA

NDIZI SHILINGI MIA

KIBAMA AU KITUMBUA NI SHILINGI HAMSINI

KAKA ADEN AKIPATA KITUMBUA KWA RAHA ZAKE

SIKUWA MBALI KUPATA KITUMBUA KWA RAHA ZANGU VIBAMA KUMI SHILINGI MIA TANO NA MAJI JUU YANAYOTILILIKA BILA KUFUNGWA NA KOKI SUKU INAPITA HA HA HA HA HA ETI MAISHA MAGUMU, NJOO LUFILYO.

SOKO LA KISASA LILILOJENGWA NA HALMASHAURI YA BUSOKELO ILI KUWAWEZESHA WANANCHI KUUZA NA KUNUNUA KWA USALAMA MZURI

SEHEMU YA SOKO LA KIPAPA LUFILYO BUSOKELO WILAYANI RUNGWE

UJENZI WA CHUO CHA VETA BUSOKELO WILAYANI RUNGWE

UJENZI WA CHUO CHA VETA UNAENDELEA BUSOKELO WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

ENDELEA KUFUATANA NAMI KUJIONEA MENGI www.kingotanzania.blogspot.com. UKIWA NA HABARI AU MATUKII PIA MATANGAZO USISITE KUWASILIANA NAMI KWA allykingo@yahoo.com PIA TUMA PICHA KWA KUTUMIA WHATSPP 0752881456. KARIBU KINGOTANZANIA

Post a Comment