Tuesday, April 15, 2014

ZAO LA MAPARACHICHI MKOMBOZI WA UCHUMI KATIKA KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI TANZANIA RUNGWE TANZANIA

MAPARACHICHI YAKIKUSANYWA SHAMBANI BAADA YA KUYACHUMA NA KUKATWA VIKONYO KWA UTAALAMU  KUSUBIRI KUYAPELEKA KIWANDANI KWAAJILI YA KUYASINDIKA ILI KUONGEZA THAMANI NA KUYASAFIRISHA KATIKA SOKO LA NJE YA NCHI NCHINI UINGEREZA NA NCHI ZA JIRANI NA NDANI YA NCHI

BAADA YA KUKATWA VIKONYO NA KUHIHADHIWA VYEMA KUYAPEREKA KIWANDANI

WATU MIA TATU NA ALOBAINI WALIOFIKA SIKU HII YA KUCHUMA MATUNDA YA MAPARACHICHI KATIKA SHAMBA HILI LA KANISA WAMEPATA AJIRA YA KUCHUMA MATUNDA YA MAPARACHICHI KATIKA KIWANDA CHA RUNGWE  AVACADO TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

VIJANA WAKIWAJIBIKA KUVUNA MAPARACHICHI KATIKA SHAMBA LA KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI
MATUNDA YA MARACHICHI YAKIKUSANYWA KWA UANGALIFU MKUBWA KUPEREKA KWENYE GALI NA KUYA FIKISHA KIWANDANI KWA AJILI YA KUYASINDIKA

MKUU WA IDARA YA NIRADI MCHUNGAJI WILIAMMASHIMBI AMBAYE AMESEMA KUWA WAZO LA KUWA NA MARADI HUU WA UZARISHAJI WA MAPARACHICHI ULIKUWA KAMA NDOTO WALIPOKUWA WANAUAZISHA HUKU WAKIPATA UPINZANI MKUBWA KATIKA UANZISHAJI LAKIN SASA NI MWAKA WA PILI WAMEANZA KUVUNA NA MWAKA HUU WANATEGEMEA KUPATA TANI KUMI NA TANO KATIKA SHAMBA HILI LA KANISA LA MORAVIANI. HIVYO AMEWATAKA WANANCHI KUTUNZA KWA KULINDA MIUNDOMBINU YA SHAMBA JAPO KUNA HUJUMA ZINAZOFANYWA NA WATU WACHACHE WASIOITAKIA MEMA KANISA KWA KUKATA MITI YA MIPARACHICHI ILI KUDHOFISHA UZARISHAJI WA ZAO HILI AMBALO SASA LINAONEKANA NI ZAO LA UKOMBOZI KWA KIPATO CHA MWANANCHI MMOJAMMOJA NA KANISA KWA UJUMLA

AKIONGEA NA MTANDAO HUU WA JAMII KINGOTANZANIA MCHUNGAJI MWAITEBELE AMESEMA KUWA AKIWA MTOTO MDOGO ALIFUNDISHWA KUJITEGEMEA HIVYO WAZO LAKE KILA AKIWA KATIKA HUDUMA YA MUNGU ANAPENDA KUFIKIA HATUA YA KANISA KUTOPENDA KUTENGEMEA MISAADA YA WAZUNGU WAKATI ARDHI YA KUTOSHA NA HARI YA HEWA NZURI WATANZANIA TUNAYO NA AKILI TUNAZO HIVYO MCHUNGAJI MWAITEBELE ANASEMA KANISA SASA KWA KUUTUNZA MRADI HUU WA MAPARACHICHI KANISA LITAONDOKANA NA KUWA OMBAOMBA KWAKUWA ZAO AMBALO LITAWAONDOA KATIKA UMASKINI KATIKA KUENEZA INJILI KWAKUWA ZAO LA MAPARACHICHI LITAINGIZIA KANISA SHILINGI MILION MIA MA MOJA NA THERATHINI KWA MWAKA HIVYO WACHUNGAJI NA WAFANYAKAZI WATAKUWA NA MAISHA MAZURI NA BORA NA KANISA KUONDOKANA NA UTEGEMEZI

MKURUGENZI WA RUNGWE AVACADO ROBERT CLOWS AKIONGEA NA KINGO TANZANIA AMESEMA KUWA KILIMO CHA MAPARACHICHI NI ZAO AMBALO WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE WAKIAMUA KWA MOYO KULIMA LITAWAKOMBOA NA UMASKINI KWAKUWA SOKO LIPO LA UHAKIKA PIA AMEWATAKA WANANCHI WAAMINIFU KATIKA KAZI KUCHANGAMKIA FULSA ZA AJILA KATIKA KIWANDA MAANA KILA MWAKA UZARISHAJI UNAONGEZEKA


MAPARACHICHI  YAKIWA KATIKA HATUA MBALIMBALI KATIKA MACHINE ILI KUYAOSHA , KUKAUSHA, KUYA CHAMBUA KATIKA GREDI ILI KUYAHIFADHI KILA TUNDA KWA THAMANI YAKE KATIKA BOX LAKE KULIA NI MKURUGENZI WA KAMPUNI YA RUNGWE AVACADO ROBERT CLOWS KUTOKA NCHINI ZIMBABWE AKISIMAMIA KAZI HATUA KWA HATUAUHIFADHI KATIKA VIFUNGASHIO

CHUMBA MAALUM KWAAJILI YA KUFUNGASHA MZIGO TAYARI KWA KUSAFIRISHA KWENDA SOKONI


BAADHI YA MAGALI YAKIPAKIA MZIGO WA MATUNDA KUYASIRISHA KWENDA BADARINI DSM TAYARI KUYAFIKISHA KATIKA SOKO LA KUAMINIKA NCHINI UINGEREZA AMBAKO TAYARI MATUNDA HAYA YA MAPARACHICHI HUPELEKWA KWA WINGI NA MATUNDA MENGINE HUUZWA NCHINI TANZANIA NA NCHI JIRANI KAMA KENYA

ZAIDI YA WATU MIA NNE WAMEPATA AJIRA KATIKA KIWANDA HIKI CHA RUNGWE AVACADO WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA
KINGOTANZANIA - 0752881456
Post a Comment