Monday, May 19, 2014

SAMAHANI KWA WALE WOTE WAPENZI WA www.kingotanzania.blogspot.com KWA KUTOKUWA HEWANI SASA YAPATA WIKI NI KUTOKANA NA AFYA YANGU KUYUMBA TUOMBEANE NIWE MZIMA NIRUDI KAZINI TENA

NATOA SHUKRANI ZANGU ZA UPENDO WA KWA WALE WOTE WANAINIOMBEA ILI AFYA YANGU IWE SALAMA,  MUNGU WANGU NA AWABARIKI SANA KWA SASA NINAENDELEA VIZURI NIPO CHINI YA UANGALIZI MZURI NA MAKINI WA MADAKTARI HAPA HOSPITALI YA KAIRUKI HOSPITAL ILIYOPO MIKOCHENI DSMMUNGU NA WABARIKI NYOTE NA NAWATAKIA MAJUKUMU MEMA
KINGOTANZANIA- 0752881456
Post a Comment