Nahodha wa Real Madrid, Iker Casillas
akiwa ameinua Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwafunga jirani
zao, Atletico mabao 4-1 usiku huu Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno.
Hilo linakuwa taji la 10 la michuano hiyo kwa Real.
Mfungaji wa bao la nne la Real, Cristiano Ronaldo akiwa ameinua Kombe
Kikosi cha Real Madrid kikifurahia na Kombe hilo
No comments:
Post a Comment