Monday, September 15, 2014

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPIN MEELA AWAAGA WANAHABARI WA MBEYA WANAOELEKEA NCHINI MALAWI.

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Crispin Meela akizungumza na wanahabari katika Ikulu ndogo Rungwe.
 Mkuu wa Wilaya akimkabidhi Mwenyekiti wa Msafara Ulimboka Mwakilili Bendera ya Taifa 
 Mweyekiti wa Msafara Ulimboka Mwakilili akielezea madhumuni ya Safari kwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mh. Crispin Meela
 Waandishi wa Habari wakishukuru nasaha za Mkuu wa Wilaya ya Rungwe 
Mwenyekiti wa Msafara Ulimboka Mwakilili akimkabidhi Mkuu wa Wilaya T-shirt
Post a Comment