Tuesday, September 2, 2014

Wana habari Iringa leo waadhimisha kumbukumbu ya Daud Mwangosi

Na Mathias Canal, Kwanza jamii-Iringa

Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Mwangosi na wanahabari Iringa tunaadhimisha siku hii kwa kutambua Kazi ya vyombo vya habari mkoani Iringa kwa kutumia siku hii kucheza mchezo wa kirafiki ktk uwanja wa mtwivila

Majira ya saa 12 Jioni, hivyo wanahabari wote tutakutana ktk uwanja huo na kabla ya mechi mchezo utatanguliwa na Sala fupi ya kumkumbuka Mwangosi na wanahabari wote waliotangulia mbele ya haki.
Post a Comment