|
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIONGEA NA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA LA WILAYA YA RUNGWE. KANDORO AMEWATAKA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA KUWA CHACHU YA MAENDELEO WILAYA YA RUNGWE ILI KUSIMAMIA MALENGO NA MIPANGO YA SERIKALI YA KUKUZA UCHUMI NA KUONDOA UMASIKINI PAMOJA NA KUWEKA MIKAKATI YA KUVUTIA WAWEKEZAJI |
|
BAADHI YA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA AKIWA ANAZINDUA BARAZA LA BIASHARA LA WILAYA YA RUNGWE |
|
MAKAMU MWENYEKITI WA TCCIA MKOA MBEYA NDUGU MAHELA, AMESEMA KUWA PAMOJA NA KUWEPO KWA MABARAZA YA BIASHARA YA WILAYA NA MKOA LA KINI CHANGAMOTO NI ULASIMU WA SEKTA YA UMMA MAAMUZU=I KUCHUKUA MUDA MREFU KUFANYIA KAZI NA KUTOKUWEPO KWA BAJETI RASMI YA UENDESHAJI WA VIKAO HARALI VYA MKOA NA WILAYA |
|
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AMBAYE NI MWENYEKITI WA BARAZA LA BIASHARA LA WILAYA KWA MUJIBU WA SHERIA, AKIONGEA NA WAJUMBE AMEWATAKA WAJUMBE KUJITAMBUA KUWA KUZINDULIWA KWA BARAZA LA BIASHARA WILAYA YA RUNGWE NI HATUA KUBWA YA KUIMARISHA MAWASIRIANO KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI |
|
KULIA NI NDUGU DAUSON LALIKA AMBAYE NI KATIBU WA TCCIA WA WILAYA YA RUNGWE AKIWA NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
KUWEPO KWA MABARAZA YA BIASHARA NGAZI YA TAIFA , MKOA NA WILAYA KUNATOA FULSA YA WADAU WA SEKTA BINAFSI NA UMAA KUKAA PAMOJA NA KUWEPO KWA MAJADILIANO NA MAHUSIANO MAZURI YA KIUTENDAJI NA WAFANYA BIASHARA
BARAZA LA BIASHARA LITAKUWA NA WAJIBU WA KUKUZA NA KUWEZESHA UWEPO WA MAZINGIRA MAZURI YA UWEZESHWAJI UA KIBIASHARA KWA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE YA NCHI, PIA KUHAKIKISHA WAFANYA BIASHARA WANAKUWA NA MAHUSIANO YA KARIBU NA SERIKALI.
BARAZA LA BIASHARA LITAKUWA NA WAJIBU WA KUFANYA UTAFITI WA VIKWAZO VYA MAENDELEO YA KIJAMII NA UCHUMI ILI KUWA NA MAPENDEKEZO SAHIHI YA KUREKEBISHA SERA NA SHERIA.
No comments:
Post a Comment