Wednesday, December 17, 2014

MAZISHI YA MAMA MZAZI WA WANAHABARI DOTTO, KULWA NA NICO MWAIBALE KATIKA KIJIJI CHA KIBUMBE KIWIRA MWANKENJA WILAYANI RUNGWE MBEYA.


Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Mwili wa Marehemu Twitikege Mlagha Mafumu ukiifadhiwa katika nyumba yake ya Milele katika  kijiji cha Kibumbe,Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya leo 
Ndugu wa Marehemu wakiwa katika majonzi 
 Wanahabari wakiwa katika Msiba huo 
MAZIKO YAMEFANYIKA KATIKA SHAMBA LA FAMILIA KATIKA KIJIJI CHA KIBUMBE KIWIRA MWANKENJA WILAYANI RUNGWE NA KUONGOZWA NA UONGOZI WA KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI RUNGWE

No comments: