Thursday, March 5, 2015

ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA; KATIKA PICHA WILAYANI RUNGWE

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA WILAYANI RUNGWE AMEZINDUA JENGO JIPYA LA HALMASHAURI YA RUNGWE AMBALO LIMEANZA KUTUMIKA KWA OFISI ZA HALMASHAURI YA RUNGWE

KUSHOTO NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE VERONICA KESSY AKIA NA MR MAKUFE AFISA MIPANGO ILAYA YA RUNGWE WAKIJADIRI MAMBO KABLA MGENI RASMI HAJAWASIRI KUZINDUA JENGO LA OFISI YA HALMASHAURI YA RUNGWE

BAADHI YA AFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE WAKIMSUBIRI MGENI RASMI KWA HAMU
BURUDANI MBALIMBALI ZILIKUEPO HAPO MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIFURAHIA NGOMA YA LIPENENGA  ILIYOKUA INATOA BURUDANI KATIKA VIANJA VYA HALMASHAURI YA RUNGWE

IKULU NDOGO YA ILAYANI RUNGWE AMBAYO IMEZINDULIA NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA
KULIA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE MHESHIMIWA MWAKASANGULA AKIAWA NA BAADHI YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA WILAYA YA RUNGWE

MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIZINDUA JENGO LA HALMASHAURI YA RUNGWE

PICHA YA PAMOJA
WAKUU WA CHULE WILAYANI RUNGWE WAKIMSIKILIZA WAZIRI MKUU WAKATI WA UZINDUZI WA MOJA YA MAABARA ZILIZOJENGWA KATIKA KILA SHULE YA SEKONDARI WILAYANI TUKIO LILILOFANYIKA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KAYUKI ILAYANI RUNGWE
 
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA MAKINI KUSIKILIZA MMOJA WA WANAFUNZI WA SHULE YA KAYUKI AKIELEZEA JINZI MAABARA ZILIZOJENGA ZINAVYOWANUFAISHA KATIKA MASOMO YA SAYANSI AMBAPO SASA ANAFUNZI WENGI WANASOMA MASOMO YA SAYANSI KULIKO AWALI AMBAPO MAABARA ZILIKUA HAZIPO

BRAS BAND YA JESHI LA MAGEREZA KIWIRA TUKUYU

AZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA TUKUYU WILAYA RUNGWE AMBAPO AMEWATAKA KUISOMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA ILI KUPATA NAFASI YA KUIPIGIA KULA
KINGOTANZANIA
Post a Comment