Monday, April 20, 2015

WITO UMETOLEWA NA DR SUNGWA NDAGABWENE WA WILAYA YA RUNGWE KUFIKA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA RUNGWE KUFIKA KUTAMBUA MIILI YA MAREHEMU WATU WATATU WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HAICE KATIKA MTO KIWIRA NA KUSABABISAHA VIFO VYA WATU 18 AMBAPO WATU 15 WAMETAMBULIKA NA KUCHUKULIWA NA NDUGU ZAO BADO WATU WATATU HAWAJATAMBULIWAMAREHEMU BADO WAMEHIFADHIWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI HOSPITAL YA WILAYA TUKUYU MAKANDANA
Post a Comment