Thursday, June 18, 2015

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA NYANG’HWALE MKOANI GEITA, KESHO NI BUSANDA


????????????????????????????????????
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasili katika mji wa Kharumwa wilayani Nyang’hwale mkoani Geita wakati akiwa katika zaiara yake ya kikazi mkoani humo akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010-2015 inayotekelezwa na serikali huku akihimiza uhai wa chama hicho akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi , Kinana anafnaya ziara hiyo katika mikoa ya Geita na Mwanza na tayari ameshamaliza ziara kama hiyo mkoani Kagera.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-NYANG’HWALE-GEITA)
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili katika kata ya Bukwimba wilayani Nyang’hwale akitokea wilaya ya Mbogwe mkaoni Geita.
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na watendaji mbalimbali wa wilaya ya Nyag’hwale.
????????????????????????????????????
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akimkaribisha mbunge wa jimbo la Nyag’hwale Mh. Hussein Nasor Kassu jukwaani ili azungumze na wananchi wa kata ya Bukwimba.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi na wana CCM wa kata ya Bukwimba wakati alipopokelewa katika kata hiyo akitokea wilayani Mbogwe.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi katika jengo la CCM kata ya Bukwimba linalokarabatiwa.
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki na wananchi kufukia mabomba katika mradi wa maji wa wilaya ya Nyang’hwale.
????????????????????????????????????
Baadhi ya mifugo ikiwa tayari kwa kuongeshwa kwenye josho la kata ya Nyakwasi
????????????????????????????????????
Mbunge wa jimbo la Nyang’hwale mkoani Geita Mh. Hussein Nassor Kassu akizungumza na wananchi katika kata ya Nyakwasi.
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuswaga Ng’ombe kwa ajili ya kuongesha katika josho la mifugo la Nyakwasi.
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika kazi ya kuongesha mifugo kwenye josho la Nyakwasi.
????????????????????????????????????
Ameamua kutumia ubunifu wake ili kupata miwani na yeye alijitokeza kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Nyamgogwa. 
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasha mashine ya kukoboa mpunga kama ishara ya uzinduzi wa kikundi cha akina mama kijiji cha Nyamgogwa.
????????????????????????????????????
Baadhi ya akina mama wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM katika kijiji cha Busolwa
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua bidhaa zinazoshonwa na akina mama wa kikundi cha ujasiriamali cha Nyag’hwale.
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua majengo ya wodi ya watoto na akina mama wajawazito hospitali ya wilaya ya Nyang’hwale huku akipata maelezo kutoka kwa mhandisi wa wilaya hiyo Bw. Renatus Rwegoshora
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakiondoka mara baada ya kutembelea majengo hayo yanayojengwa kwa nguvu za mbunge wa jimbo hilo.
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana , Nape Nauye kushoto wakiwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Kharumwa. 
????????????????????????????????????
Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Bw. Ibrahim Marwa akizungumza na wananchi  kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kharumwa wilayani humo.
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwahutubia wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Kharumwa.
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Kharumwa.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakiwa wamehudhuria kwa wingi katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa Kharumwa wilayani Nyang’hwale.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akisisitiza jambo akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa Kharumwa wilayani Nyang’hwale.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa mgorole mweusi na kukabidhiwa zana za kiasili kama ishara ya kumpa heshima ya kabila la wasukuma wa kijiji cha Kharumwa kwenye  mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa Kharumwa wilayani Nyang’hwale.
????????????????????????????????????
Post a Comment