Thursday, June 18, 2015

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe apata mapokezi makubwa mjini kigoma

 
1
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.
5
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.
6
7
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akicheza wimbo wa chama ulioimbwa na msanii, Baba Levo, wakati wa mkutano wahadhara mjini Kigoma jana.
2
Baadhi ya wakazi wa mji wa Kigoma wakifuatilia mkutano wa hadhara wa chama cha ACT Wazalendo mjini Kigoma jana.
3 4
Post a Comment