Friday, October 16, 2015

PUMZIKA KWA AMANI KIPENZI CHA WATANZANIA DEO FILIKUNJOMBE

Maandiko yanasema shukuru kwa kila jambo japo Hili ni gumu ila latufaa kuwa karibu na Mungu.

Wote mliopatwa na misiba hii mungu awafariji watanzania Tunalia.BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIDIWE.

AMEN

Post a Comment