Wednesday, October 14, 2015

ZIARA YA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

Ziara ilianzia Taasisi ya wakulima wadogo wa chai RSTGA ambao ndio wamiliki wa kituo cha Radio Chaifm ambapo walijionea mambo mbalimbali ikiwemo madhumuni ya kuanzishwa kwa Radio na uhamasishaji wa vijana kushiriki kikamirifu katika kuendeleza kilimo. Pia ziara iliendelea katika kijiji cha Lutete ambapo kambi ya siku mbili ilifanyika ili kushiriki mambo mbalimbali ya kijamii na michezo.

Post a Comment