Monday, November 9, 2015

Raia wa Jamhuri ya Muungono.wa.TZ JPM afanya ziara ya kushitukiza hospitali ya Muhimbili, kabla hapo alikwenda hospitali ya Agakhan kumjuilia hali Mkurugenzi wa Haki za binadam aliepata ajali ya barabarani hapo jana katika makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi dar es Salaam

Post a Comment