Saturday, November 7, 2015

TAARIFA YA MSIBA. HANCE AMON MWAKISYALA AMBAYE NI MTUNZA HAZINA WA CCM MKOA WA MBEYA AFARIKI DUNIA TAREHE 5.11.2015 NA MAZIKO YATAFANYIKA TAREHE 8.11.2015 MJINI TUKUYU KIJIJINI KWAKE KATA YA KYIMO KARIBU NA SHULE YA MSINGI SALEM. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana na lihimidiwe. AMEN

Post a Comment