Sunday, November 6, 2016

Upumzike kwa Aman Samuel Sitta, Ulale Salama Spika wetu Mstaafu, Umetimiza salama safari yako hapa Duniani, hakika utakumbukwa kwa mengi! Umetuachia simanzi lakini hatuna budi kushukuru kwa yote; Mwenyezi Mungu akupokee na kukupumzisha salama! Amen!

Post a Comment