Sunday, February 18, 2018

Mtulia aibuka kidedea Uchaguzi Kinondoni


Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia ameshinda Uchaguzi mdogo uliofanyika jana. Maulid Mtulia Amepata kura 30, 247 dhidi ya Mgombea wa Chadema Aliyepata kura 12, 353.

No comments: