Leo Disemba 19, 2022 Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili kwenye kongamano la wahariri na Wadau wa uhifadhi mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji Mkoani Iringa lilioandaliwa na Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA)


 Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na HabibMchange Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Raslimali na Taarifa (MECIRA) mara baada ya kuwasili kwenye kongamano la wahariri na Wadau wa uhifadhi mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji Mkoani Iringa

Makamu wa Rais Dk.Philip Mpango akikagua mabanda katika viwanja vya ukumbi wa Masiti mjini Iringa alipowasili kuhudhuria Kongamano la Wahariri na wadau wa uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji Vyanzo Vya Maji lilioandaliwa na MECIRA.

Baadhi ya viongozi na wadau wa uhifadhi mazingira na utunzaji vyanzo vya maji wakifuatilia kwa makini kinachoendelea katika kongamano la wanahabari na wadau wa uhifadhi mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji linaoendelea katika ukumbi wa Masiti mjini Iringa