Sunday, September 30, 2012

MZEE ERASTO ULIMBIKA KAPOJA AFARIKI DUNIA

MAREHEM  ERASTO ULIMBIKA KAPOJA (MSTAFU WA JESHI POLISI)

NDUGU WA MAREHEMU TUKIWA MSIBANI ILOMBA SAI JIJIN MBEYA

MTUMISHI NIPO NA BABA MCH MWALWEGA

MZEE ERASTO  ULIMBIKA KAPOJA AFARIKI DUNIA

AMEFARIKI DUNIA JANA TAREHE 29.09.2012  NA TUNATARAJIA MAZIAKO KUFANYIKA NYUMBANI KIJIJINI   MANOW TUKUYU SIKU YA TAREHE 02.10.2012 SIKU YA JUMANNE KATIKA KANISA LA KKT DAYOSISIS YA KONDE. MAREHEM JANA ASUBUHI ALIJISIKIA VIBAYA AKAAMUA KWENDA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NA ALIKWENDA  KWA MGUU ILI AKAPIME BP ALIPOFIKA WAKAMPUMZISHA BAADA YA MUDA MFUPI AKAPOTEZA MAISHA. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Post a Comment