Saturday, September 29, 2012

UJENZI WA SOKO KUU LA MWANJELWA WAELEKEA MWISHONI

Huu ndiyo mwonekano wa soko la mwanjelwa Mbeya unavyoonekana kwa sasa 


Huu ndiyo mwonekano wa soko la Mwanjelwa Mbeya utaonekana pindi mradi huo wa soko ukiishakamilika na wananchi wa Mbeya watanufaika nao. 

Ujenzi bado unaendelea

Post a Comment