Monday, October 29, 2012

Habari Njema: MWENYEKITI MR MJENGWA amechaguliwa Kuwa Mjumbe Wa Mkutano Mkuu Wa TFF!

HONGERA SANA MWENYEKITI MR MJENGWA KWA KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA TFF MKOA WA NJOMBE. KINGO SUPER PRODUCTION NA kingotanzania.blogspot.com INAKUTAKIA HERI KATIKA MAJUKUMU HAYO MAPYA ZAIDI TUNAHITAJI MABADIRIKO YA SOKA SIO SIASA.

Picha ya pamoja ya familia ya soka Njombe. Mstari wa mbele kuna Mwenyekiti mpya wa Chama cha Soka, Njombe Kapteni Stanley Lugenge mwenye suti. Kuna pia mwakilishi wa TFF, Taifa, mwenye miwani. Wengine ni wajumbe wapya nane wa Kamati ya Utendaji waliochaguliwa leo.
KINGO
0752881456
Post a Comment