Monday, October 29, 2012

WATANZANIA WANATAKIWA KUJIFUNZA HARI YA USALAMA WAO KWANZA

WATU WA MJI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE WAKISHANGAA NDEGE KATIKA UWANJA WA TANDALE

NDEGE IKIONDOKA UWANJANI HAPO

MAMIA YA WATU WA MJI WA TUKUYU LEO WALIPATWA NA TAHARUKI BAADA YA KUIONA NDEGE IKITUA KATIKA UWANJA WA TANDALE WAKIDHANIA NI NDEGE ZA MALAWI WAMEKUJA KUIPIGA TANZANIA. LAKINI CHA KUJIULIZA WATU WENGI HAWAKUJIHADHARI NA HILO WALILOLIDHANIA BADALA YA KUCHUKUA TAHADHARI AJABU WATU WAZIMA, WATOTO VIJANA NA HATA VIONGOZI WALIOKUWA OFISIN MUDA HUO WALITOKA KUELEKEA KUSHANGAA KULIKONI KUTUA NDEGE HAPO. IMANI YANGU KUWA PAMOJA NA MGOGORO ULIOPO KATI YA MALAWI NA TANZANIA KUHUSU MPAKA ULIOPO ZIWA NYASA WATANZANIA TUNATAKIWA KUPATA ELIMU YA USALAMA KWANZA MAANA TUNAPENDA KUKIMBILIA MATUKIO TUSIYOYAJUA, MENGINE NI HATARI.
KINGO
0752881456

Post a Comment