Sunday, October 28, 2012

LILIAN C MWAKIPESILE AAGWA RASM USIKU HUU

LILY MWAKIPESILE AKIWA KATIKA POZI LA FURAHA AKIWA KATIKA SIKU YAKE YA KUANGWA NA NDUGU NA JAMAA

MHE, KIBONA MBUNGE WA JIMBO LA ILEJE NA MKEWE WAKIFURAHI PAMOJA NA LILY KATIKA SIKU YAKE HII MUHIMU

USIKU HUU KATIKA POZI NA TABASAM ZITO

LILY AKIWA NA MPAMBE WAKE

LILY AKITOA ZAWADI YA KEKI KWA MLEZI WAKE MHE, KIBONA MBUNGE WA JIMBO LA ILEJE NA WALIOPO NYUMA NI WANAKAMATI WALIMPA LILY ZAWADI YA PESA SH 3,000,000/=
www.kingotanzania.blogspot.com pamoja na KINGO SUPER PRODUCTION . Inakutakia dada Lily maisha mema na yenye Amani.
KINGO
0752881456
Post a Comment