Thursday, October 11, 2012

MAAJABU YA MUNGU - KAPOROGWE

LEO NIMEANZA SAFARI YA KWENDA ILEJE MKOANI MBEYA NIMEPITA HAPA KWENYE MAPOROMOKO YA MAJI YA KAPOLOGWE YALIYOPO WILAYA YA RUNGWE.  SIO SIRI NI PAZURI SANA HAPA NATAMANI SAFARI INGEISHIA HAPA LAKINI NGOJA NIENDELEE MBELE NA SAFARI (SUBIRI MATUKIO ZAIDI)
0752881456
Post a Comment