Friday, October 12, 2012

SAFARI YA ILEJE HADI MPAKANI NA MALAWI

HAPA NI MAENEO ILIIPOTOKEA AJALI MBAYA YA MAGALI NA KUUA WATU 11 MBALIZI MBEYA

UHARIBIFU WA BARBARA KUTOKANA NA KUPITISHA MIZIGO MIZITO ILIYOPELEKEA BARABARA KUWA KATIKA HARI MBAYA NA HATARI

SAFARI  NA MAPUMZIKO  HAPA NI HOTERI YA LUNCH TIME ILIYOPO TUNDUMA HUDUMA NA USAFI HAPA WANAJITAHID SANA

SAFARIN NILIKUWA NA WADAU WA MR & MRS PAULO. AMBAYE NI MENEJA TRA TAWI LA TUKUYU WAKIFURAHIA KAMERA YETU

NI USIKU NDIO TUNAFIKA ILEJE TUNAPOKELEWA NA MWENYEJI WETU MR CHEYO. SAFARI NI NDEFU SANA LAKINI NIMEJIFUNZA MENGI SANA

WATU WA HUKU WAKARIM SANA KARIBUN MAZIWA
AZ
Post a Comment