Wednesday, November 14, 2012

BARAZA LA MAASKOFU WA CSSC NYANDA YA KUSINI WAWATAKA WATANZANIA KUACHA KUTEGEMEA WAFADHIRI KATIKA HUDUMA ZA JAMII

ASKOFU DR ESRAEL PETER MWAKYOLILE WA KKKT DAYOSISI YA KONDEUMOJA WA MAASKOFU KANDA YA KUSINI YA CSSC WAKIWA KWENYE MKUTANO MKUU WA MWAKA


MGENI RASM DR SEIF MHINA MGANGA MKUU WA MKOA WA MBEYA AKIFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAASKOFU WA  CSSC KANDA YA KUSINI

BADHI YA WAFANYA KAZI WA CSSC MKOA WA MBEYA KULIA ROZALIA MWAKALUKWA, MR JASTIN SANGA NA DAFROZA MABILLA


MR PETER MADUKI. CSSC EXECUTIVE DIRECTOR
WAJUMBE WA MKUTANO WA CSSC KANDA YA KUSINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MKUTANO HUU NI WA SIKU MBILI UNAFANYIKA UKUMBI WA ICC MBALIZI MBEYA MAENEO YA IFISI.

WATANZANIA WAMETAKIWA KUJIANDAA KWA KUTO TEGEMEA MISAADA YA WAHISANI NA WAFADHIRI WA NJE YA NCHI KWAKUWA UTEGEMEZI UNA KIKOMO 

AKIONGEA NA KATIKA SEMINA YA UMOJA WA TUME YA KIKRISTO YA HUDUMA ZA JAMII MWENYEKITI WA UMOJA ASKOFU DR ESRAEL PETER MWAKYOLILE AMESEMA KUWA UMEFIKA WAKATI WA WATANZANIA KUANZA KUJITEGEMEA KATIKA KUCHANGIA HUDUMA ZA KIJAMII HASA AFYA NA ELIMU KWA KUWA WAHISANI WAMEPUNGUZA SANA KUWEZESHA MISAADA KWA NCHI ZINAZOENDELEA

ASKOFU MWAKYOLILE AMESEMA KUWA SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA MASHIRIKA YA DINI WANA WAJIBU WA KUWAHUDUMIA WANANCHI BILA YA UBAGUZI WOWOTE HIVYO AMEWATAKA VIONGOZI WA DINI KUWA NA MBINU MBADARA ZA KUFANYA WANANCHI KUJITEGEMEA KATIKA KUPATA HUDUMA ZA AFYA NA ELIMU
HIVYO AMEWATAKA VIONGOZI WA DINI KUTOA ELIMU YA KUPATA HUDUMA ZA AFYA KWA KUCHANGIA HUDUMA MFUKO WA AFYA CHF KWA KUWA NI MKOMBOZI KWA KUPATA HUDUMA ZA AFYA KAJIKA NGAZI ZA FAMILIA

INSERT …… (ASKOFU DR ESRAEL MWAKYOLILE)
NAYE MGENI RASMI KATIBU TAWALA WA MKOA WA MBEYA  KWA NIABA YAKE MGANGA MKUU WA MKOA WA MBEYA DR SEIF MHINA AMESEMA KUWA MKOA WA MBEYA UKO SARAMA JAPO JANGA LA UKIMWI BADO NI TISHIO KUBWA KWA KUWA MKOA WA MBEYA NI WATATU TANZANIA KWA KUWA NA ASLIMIA KUBWA YA MAAMBUKIZI 9.2 NA KIWANGO CHA TANZANIA IKIWA NI ASLIMIA 5.2 HIVYO AMEWATAKA VIONGOZI WA DINI KUTOA ELIMU YA KUTOSHA ILIKUPAMBANA NA UGONJWA HUU WA UKIMWI.

AKITOA MFANO WA NCHI YA ZIMBABWE KUWA WAMEFIKIA ASILIMIA 55 YA KUJITEGEMEA KATIKA BAJETI YA MWAKA KWA KUCHANGIA MFUKO WA UKIMWI, HIVYO AMEWATAKA WATANZANIA KUWA NA SERA YA KUCHANGIA HUDUMA ZA AFYA KWA KUCHANGIA KUPITIA VAT, KODI KATIKA MIRADI MIKUBWA INAYOENDESHWA INCHINI NA MICHANGI KUPITIA MISHAHARA HIVYO ITAFANYA WATANZANIA KUTOTEGEMEA MISAADA AMBAYO INAAMBATANA NA MASHARTI MAGUMU NA MASHART MENGINE INAKUWA AIBU KWA KUFUATANA NAMILA NA DESTURI YA WATANZANIA
INSERT ……… (DR SEIF MHINA – MGANGA MKUU WA MKOA WA MBEYA)
Post a Comment