Tuesday, November 13, 2012

MAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA MC BARAKA CHAWE KIJIJINI KWAO ISYONJE WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA

ASKOFU WA  K.K.K.T  JOB MBWILO AKIONGOZA IBADA YA MAZISHI YA MC BARAKA CHAWE HUKO KIJIJINI KWAO ISYONJE

BAADHI YA WASHEREHESHAJI  WA JIJI LA MBEYA WAKIWA WAMEBEBA MSARABA NA PICHA YA MAREHEBU BARAKA CHAWE WAKIELEKEA ENEO LA IBADA YA MWISHO YA KUMWOMBEA MAREHEMU CHAWE


ULITOKA MAVUMBINI UTARUDI TENA MAVUMBINI BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE AMEN


MTOTO WA PEKEE WA  MAREHEMU BARAKA CHAWE  RACHEL AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA BABA YAKE


Post a Comment