Tuesday, November 13, 2012

MTOTO ALIYEUNGUZWA MKONO NA KULISHWA KINYESI AKATWA MKONO HOSPITALI YA RUFAA YA MBEYA

Hatimaye yule mtoto aliyechomwa moto na mama yake amekatwa mkono wake wa kushoto


Bahati Rukangara huyu ndiye aliyemchoma mtoto Janeth

Mtoto Janeth kabla hajaokolewa na wasamalia wema na kupelekwa kupata matibabu

Post a Comment