Monday, November 12, 2012

AJALI NYINGINE YATOKEA LEO ASUBUHI SITA WAFARIKI PAPOHAPO NA NIPALEPALE WALIPOGONGWA WATOTO WAWILI ENEO LA IMEZU MBEYA

BASI AINA YA TOYOTA HIACY  YENYE NAMBA ZA USAJIRI T245 AMH ILIYOGANWGA NA ROLI LA MIZIGO

HILI NDILO ROLI LILILOSABABISHA AJALI NA KUUA ABIRIA SITA

MAJERUHI WAKIKIMBIZWA KUPATA MATIBABU

BAADHI YA MAITI ZIKIWA ZIMEPAKIWA KATIKA GARI YA POLISI
HABARI KAMILI ITAFUATA (PICHA KWA HISAN YA MBEYA YETU)
Post a Comment