Monday, November 12, 2012

LTV WAVAMIA MBEYA WAPO KWA SHOOTING YA VIDEO YA AMBWENE MWASONGWE ALBAMU YA MISULI YA IMANI

Ambwene Mwasongwe kakiwa katika shooting yake ya albam ya misuli ya imani katika hotel ya Beaco jijini Mbeya

Kazi ikiendelea ya maandalizi ya Albam ya Misuli ya Imani ya Abwene Mwasongwe

Mwakilishi wa mbeya yetu Joseph Mwaisango kushoto katikati Ambwene Mwasongwe kulia kabisa Lucas Mboya wa Ltv nyuma dada irene  kwa ujumla mbeya yetu ilibahatika kuwakuta wakiendelea na matayarisho ya mkanda huo wa video utakaojulikana kwa jina la misuli ya imani "kaa mkao wa kupokea upako ndani ya MISULI YA IMANI"Ambwene

Post a Comment