Friday, November 30, 2012

TAA ZA BARABARANI JIJINI MBEYA ZAZIDI KUGONGWA NA MAGARI KILA KUKICHA

GARI AINA YA COSTA LEO ALFAJIRI IMEPARAMIA NGUZO MBILI ZA TAA ZA BARABARANI ENEO LA BARABARA KUU IENDAYO ZAMBIA AJALI HIYO IMESABABISHWA NA MWENDO KASI DEREVA ALIKUWA ANAWAHI ABIRIA KITUO CHA MWANJELWA NA UYOLE MBEYA
KATIKA BASI HILO HAKUNA ALIYEJERUHIWA ILA DEREVA KAKIMBIA KUKWEPA MKONO WA SHERIA
HIZI NDIZO NGUZO ZA TAA ZA BARABARANI ZILIZOGONGWA NA BASI HILO ASUBUHI YA LEO
Post a Comment