Friday, November 23, 2012

WAFANYABIASHARA NA WAKULIMA WA WILAYA YA RUNGWE NA KYELA \WATAKIWA KUCHANGA MKIA FULSA YA MIKOPO ITOLEWAYO NA NSSF KUPITIA SACOS ZAO

EVARIST BISHANGA MENEJA WA NSSF WILAYA YA RUNGWE NA KYELA AKIMWELEKEZA MTEJA JINSI YA KUJAZA FORM YA KUJIUNGA NA MFUKO WA NSSF


WATU WALIOJITOKEZA KUSIKILIZA MADA ZILIZOTOLEWA NA VIONGOZI WA NSSF TUKUYU

WADAU WA NSSF TUKUYU WALIOJITOKEZA KUSIKILIZA MADA ZILIZOTOLEWA NA VIONGOZI WA NSSFKUHUSU KUJIUNGA NA NSSF NA KUWA MWANACHAMA WA SACOS ILI KUFAIDIKA NA MIKOPO YA RIBA NAFUU NA KWA KIPINDI KIREFU

DR NIA PANGAHELA AKIMUELEZA MTEJA JINSI YA KUJAZA FORM YA KUJIUNGA NA MFUKO WA NSSFAFISA WA MAFAO YA MATIBABU WA KANDA AKIWAHAMASISHA WAKAZI WA TUKUYU KUJIUNGA NA SACOS YA RSTGA ILIYOPO TUKUYU ILI KUPATA FURSA YA KUWEZESHWA KUPATA MIKOPO ILIYO NA RIBA NAFUU NA KWA MUDA MLEFU ZAIDI NI KUNUFAIKA NA MAFAO YATOLEWAYO NA NSSF KWAKUWA NSSF NDIO MFUKO UNAI JALI WANANCHI WA WATU WOTE WA TANZANIA

Post a Comment