Thursday, December 13, 2012

LIVEE UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA WAANZA KUTUMIKA NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA

LIVEE UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA WAANZA KUTUMIKA NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA

UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA UMEANZA KUFANYA KAZI LEO NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA UWAJANI HAPA
ABIRIA AKISHUKA TOKA NDANI YA NDEGE ZILIZOTUA UWANJANI HAPO

MWANDISHI WA HABARI KAMANGA WA BLOG YA MATUKIO AKISHUKA TOKA KATIKA NDEGE KUZINDUA UWANJA HUO
BAADHI YA WTUMISHI WA UWANJA HUO WAKISHUSHA MIZIGO TOKA KATIKA NDEGE
BAADHI YA ABILIA  WALIOSHUKA UWANJANI HAPO
MAMA HELLEN LAIA WA UGANDA AKIFURAHIA KUTUA KATIKA KIWANJA HICHO CHA SONGWE MBEYA
MWENSHIMIWA DIWANI WA KATA YA SISIMBA G. KAJIGIRI AKISUBIRI MGENI WAKE TOKA DSM
MOJA YA MAAFISA WA UHAMIAJI UWANJANI HAPO

TUTAZIDI KUWALETEA KINACHOJIRI UWANJANI HAPA SONGWE

CHAI FM REDIO KUANZISHWA RUNGWE KATIKA MJI WA TUKUYU MKOA WA MBEYA
JENGO LA OFISI YA WAKULIMA WA WADOGO WA CHAI WILAYANI RUNGWE
MR LEBI GABRIEL(CEO) MTENDAJI MKUU WA WAKULIMA WADOGO WA CHAI RUNGWE RSTGA

MITAMBO YA RADIO IMEANZA KUFUNGWA TAYARI KWA WAKULIMA WA CHAI NA WAKAZI WA RUNGWE KUNUFAIKA NA RADIO HIYO YA CHAI FM RADIO

LINIKUWA NAANGALIA TU BADO KAZI HAIJAANZA SUBIRI KWA HAMU SANA

DADA AGINES YUPO MAKINI KAZIN - RSTGA

JENGO LA OFISI YA WAKULIMA WADOGO WA CHAI NA NDIMO ITAKUWEMO NA KITUO CHA RADIO YA WAKULIMA WA CHAI RUNGWE

MLIMA RUNGWE UNAVYOONEKANA LEO, UKIANGALIA VIZURI CHINI YA MLIMA HUO ITAONA JENGO JEUPE HAPO NDIPO IMEGUNDULIKA GESI YA CABONDOXDE HIKI KITUO KITAKUWA NI CHA PILI KWA KUZALISHA GESI WILAYANI RUNGWE

KITUO CHA KUZALISHA GESI KIKIONEKANA KWAMBALI SANA NAAHIDI KUTEMBELEA KIWANDA HICHO ILI WATANZANIA MJIONEE UTAJILI WA WATANZANIA JAPO UTAJILI HUO HAUONEKANI KWA MTU MMOJAMMOJA

MILIMA NA MABONDE YENYE MBOLEA WILAYANI RUNGWE

WAKAZI WA TUKUYU LEO KATIKA PILIKA PILIKA ZA MAISHA

XMAS IMEKARIBIA

HII NDIO RUNGWE MBOGA ZA KUMWAGA ZOTE HIZO SH 50/=

MAGARI YAKISUBIRI KUSAFIRISHA MIZIGO

KILA MTU YUKO BIZE

LEO SOKONI HAPA KAPU LOTE HILI NI SH 1500/=

MTENDAJI MKUU WA WAKULIMA WA DOGO WA CHAI WILAYANI RUNGWE MR LEBI GABRIEL  AKIONGEA NA www.kingotanzania.blogspot.com  AMESEMA KUWA WANANCHI WAISHIO WILAYA YA RUNGWE NA MIKOA YA JILANI WAKAE MKAO SAWA WA KUPATA ELIMU, BURUDANI NA MATANGAZO KUTOKANA NA WAKULIMA WADOGO KUAMUA KUANZISHA REDIO YAO ILI JAMII INUFAIKA KATIKA KIPINDI HIKI CHA UTANDAWAZI.

LEBI AMESEMA KUWA RADIO HII ITAKUWA INAITWA CHAI FM RADIO, KWA KUZINGATIA KAULI MBIU YA KILIMO KWANZA NA HASA KILIMO CHA CHAI KILIMO KINACHOWAFANYA WAKULIMA WA RUNGWE KUJIAJILI KWAKUWA NI MKOMBOZI WA MAISHA YAO

ZAIDI AMESEMA WAKAZI WA RUNGWE NI MUDA MREFU WAMEKOSA HABAR, MATUKIO NA MATANGAZO KWA KUTEGEMEA VITUO VYA REDIO VYA MBALI NA HASA MUINGILIANO WA MAWIMBI NA REDIO ZA MALAWI HIVYO HUJIKUTA HAWAPATI HABARI NA MATANGAZO  YANAYOWAHUSU KATIKA KUENDELEZA KILIMO CHA CHAI, MPUNGA, MAHINDI, KOKOA, MAHARAGE, NDIZI, MAPARACHICHI NA MAZAO YA MATUNDA NA MBOGAMBOGA YANAYOSTAWI KWA WINGI SANA WILAYANI RUNGWE.

ZAIDI LEBI AMEWATAKA WANANCHI WA RUNGWE KUENDELEA KULIMA MASHAMBA MAPYA YA CHAI KWAKUWA KILIMO CHA CHAI NDILO ZAO PEKEE LENYE UHAKIKA WA KIPATO KWA KILA MWEZI. PIA AMEWATAKA KUTUNZA MAZINGIRA KWAKUWA HALI YA HEWA YA RUNGWE NDIO HALI RAFIKI KWA KILIMO HIKI CHA CHAI,

KINGO
0752881456
Post a Comment