Wednesday, December 12, 2012

SHULENI LEO NI SIKU YA MUHIMU SANA 12.12.2012 HAITOKEI TENA

LEO NIMETEMBELEA SHULENI ANAKOSOMA MTOTO WANGU NA KULA NAO CHAKULA CHA MCHANA
SHULENI HAPO WAZAZI TUMEPATA NA TAARIFA YA SHULE KUTOKA KWA MWALIM MKUU FARAJA MHINA ALIYESHIKA KALATASI  NA ALIYE KAA NDIO MWENYEKITI WA BODI YA SHULE
WATOTO WAMEFURAHI SANA KUTEMBELEWA NA WAZAZI HAPO PICHANI KUANZIA KULIA LINDA BENARD NA MAMA YAKE MZAZI NEEMA, KATIKATI DADA CAROLINE KINGO MTOTO WANGU AKIFUATIA MWALIMU WAO SUMA MWAKAPALA HUYU MWALIMU NI KATI YA WALIMU WALIO NA MAADILI NA MWISHO NI MIRIAM MWASAJONE MTOTO WA KAKA YANGU
BAADHI YA MAJENGO YA SHULE YA NURU


MWALIMU MKUU MSAIDIZI ALIYE CHUCHUMAA NA BAADHI YA WAZAZI PAMOJA NA WANAFUNZI


WANAFUNZI WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANAKUAZIA KULIA HYLINE MATHIAS, LINDA BENARD,CAROLINE KINGO NA MWISHO MIRIAM MWASAJONE

BAADA YA WIKI YA TATU ZA MAPUMZIKO YA KUUNGA PINGU ZA MAISHA SASA MR DAUD MWASAMBILI NA MRS JANEY DAUD WANAFURAHIA MAISHA YA NDOA HA HA HA HA HA SAFI SANA KIJANA KWA KUCHAGUA MKE HONGERA 

MR & MRS DAUD MWASAMBILI WAKIFURAHIA CAMERA YA KINGO KWA STAILI YA AINA YAKE HA HA CHEZEA DAUD NA JANEY WEWEWEEEEE
IKU
Post a Comment