Saturday, December 15, 2012

LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA

LEO NI SIKU YA KUMBUKUMMBU YANGU YA KUZALIWA  NA KIPEKEE NI SIKU YA HISTORIA KWANGU KWA KUWA LEO NATIMIZA MWAKA TANGU BABA YANGU MZAZI AFARIKI DUNIA TAREHE 15.12.2011 KATIKA HOSP YA TUMBI PWANI NA KUZIKWA TAREHE 16.12.211 KIJIJINI KWETU MZENGA WILAYA YA KISALAWE PWANI.

 MDAU CHRISTINA AAGWA NA WAZAZI WAKE PAMOJA NA NDUGU NA JAMAA KKK TUKUYU
CHRISTINA AKIWA NA MPAMBE WAKE KATIKA POZI LA PICHA DARAJA LA MUNGU KIWIRA TUKUYU

KAMANDA WANGU MWENE AKIWA KATIKA POZI LA PICHA AKIFURAHIA MAZINGIRA YA DARAJA LA MUNGU

KARIBU WANANGU MAMA MWAKYAMBIKI MPISHI WA KEKI TUKUYU AKIMKARIBISHA DADA CHRISTINA

KUZAA KUZURI BWANA WAZAZI WA CHRISTINA WAKIFURAHIA KEKI

MDOGO WA CHRISTINA AKIWA BIZE NA KUPIGA PICHA KWA KUTUMIA SIM YAKE MAMBO YA DIGITAL BWANA HAYA

WADAU WALIOFANIKISHA SENDOFF KUANZIA KUSHOTO MWL MINGA , MWL MAYOMBA NA MWL REGOSHOLA

WANAKAMATI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKIONGOZWA NA MWL MWAKALINGA WA NNE TOKA KULIA .
KWA MATUKIO YA HABARI, DOCUMENTARY NA MATANGAZO PIA VIDEO CAVAREGE NA STIILPICTURE WASILIANA NAMI, 
KINGO SUPER PRODUCTION & STATIONARY
0752-881556
0716-989978
255 255 552631
allykingo@yahoo.com
Post a Comment