Saturday, December 15, 2012

MBEYA KWA AJALI INATISHA SASA

BREAKING NUUUUUUZ: WATU WATATU WAGONGWA NA GARI MKOANI MBEYA MUDA HUU ......


 Ajali mbaya imetokea eneo la ILEMI Jijini MBEYA muda huu ambapo gari aina ya TOYOTA LANDCRUISER iliokuwa ikitokea Wilaya ya Chunya imegonga watu watatu huyu ni mmoja wa waliogongwa. 

SAMAHANI KWA PICHA HII CHINI NIMELAZIMIKA KUIWEKA ILI UPATE HALI HALISI YA KILICHOTOKEA.
 Mwenyezi Mungu ambariki ili aweze kupona.
Gari aina ya TOYOTA LANDCRUISER iliokuwa ikitokea Wilaya ya Chunya imegonga watu watatu huyu ni mmoja wa waliogongwa.

Post a Comment