JENGO JIPYA AMBALO BARAZA LA MADIWANI RUNGWE KWA KAULI MOJA LIMEAMUA KUWA ENDAPO RUNGWE ITAFIKIA VIGEZO NA KUWA MKOA WA MBEYA BASI HILO NDILO LITAKUWA OFISI YA MKUU WA MKOA NA WATENDAJI WAKE |
BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA RUNGWE WAKIWA KATIKA KIKAO MAALUM KWA AJLILI YA MAPENDEKEZO YA KUUGAWA MKOA WA MBEYA ILI KUWA MIKOA MIWILI |
WATENDAJI WA HALMASHAURI YA RUNGWE WAKIWA MAKINI KATIKA KIKAO HICHO |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIONGEA NA BARAZA LAMADIWANI NA WATENDAJI KATIKA KIKAO MAALUM CHA KUUUGAWA MKOA WA MBEYA KUWA MIKOA MIWILI |
MKUU WA WILLAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGOZA KIKAO CHA RCC BAADA YA KIKAO CHA MADIWANI KUPITISHA MAPENDEKEZO YA MAKAO MAKUU YA MKOA MPYA YAWE TUKUYU NA MKOA MPYA KUITWA RUNGWE |
DAS ALINANUSWE MWALUFUNDA AKITOA TAARIFA YA SERIKALI BAADA YA MCHAKATO HUU KUANZA ILI KUGAWA MKOA WA MBEYA NA KUWA MIKOA MIWILI |
DIWANI KATA YA KAWETELE KWA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI AKIPINGA MAPENDEKEZO YA MKOA MPYA KUWA WILAYANI RUNGWE KWA SABABU KATA ANAYOTOKA HAINA OFISI |
MHESHIMIWA BASHIRU MADODI AKITOA MCHANGO WAKE |
WAJUMBE WA KIKAO WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA |
MR SHIRIMA AKISOMA TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA KUGAWANYA MKOA WA MBEYA KUWA MIKOA MIWILI |
WAJUMBE WA DCC WILAYA YA RUNGWE WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HOJA ZA WATU WAKITOA MAPENDEKEZO YA UWEPO WA KUGAWANYWA KWA MKOA WA MBEYA |
KINGOTANZANIA: ITAWALETEA WADAU MUENDELEZO WA FULSA ZINAZO SABABISHA BARAZA LA MADIWANI RUNNGWE KUPENDEKEZA MKOA MPYA MAKAO MAKUU YAKE YAWE KATIKA MJI WA TUKUYU NA KWA NINI MKAO MKUU HAYA YAMEPEWA JINA LA RTUGWE. FUATANA NAMI KWA MAONA NA USHAURI www.kingotanzania.blogspot.com
................................................................................................................................
TANAPA YAKABIDHI TUZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI IRINGA
Waziri wa
Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Musa
Juma kutoka gazeti la Mwananchi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja
na laki tano aliyoshinda baada ya kuandika makala nzuri ya kutangaza
utalii wa Tanzania katika tuzo inayoandaliwa na shirika la hifadhi za
taifa TANAPA kwa waandishi wa habari wa Televisheni, Redio na Magazeti
katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi watuzo hiyo iliyofanyika
kwenye hoteli ya Hiltop Hotel ya mjini Iringa, hafla hiyo imefanyika
baada ya mkutano wa siku mbili kati ya wahariri wa vyombo vya habari na
TANAPA katika ikiwa na kauli mbiu ya Jukumu la Vyombo vya habari Katika
kukabiliana na Ujangili katika hifadhi za taifa uliomalizika leo , kulia
ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James
Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA
Waziri wa
Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi
Albano Midelo wa Gazeti la Dira tuzo aliyojishindia baada ya kuandika
makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa
kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati
ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.
Polisi wa Kike aliyepiga picha za utupu atimuliwa kazi
WP Amisa |
Jeshi
la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa
kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni
kutokana na utovu wa nidhamu.
Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova amesema, Amisa amefukuzwa kazi kwa kuwa amekiuka maadili ya Jeshi kwa kitendo chake cha kupiga picha za utupu zilizoonekana katika mitandao.
Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova amesema, Amisa amefukuzwa kazi kwa kuwa amekiuka maadili ya Jeshi kwa kitendo chake cha kupiga picha za utupu zilizoonekana katika mitandao.
Amesema, baada ya uchunguzi wa muda mrefu hasa baada ya taarifa na malalamiko ya watu kuhusu askari huyo, Juni 7 Jeshi hilo lilimtia hatiani askari huyo baada ya kujiridhisha na mwenendo mzima wa picha katika mitandao hiyo..
.........................................................................................................................................................................................................................
No comments:
Post a Comment