MZEE SINGOLILE MWAKALOBO ENZI ZA UHAI WAKE |
MAREHEMU SINGOLILE MWAKALOBO AMEFARIKI LEO ASUBUHI KATIKA HOSPITAL YA ITETE HALMASHAURI YA BUSOKELO NA AKIWA NA UMLI WA MIAKA 98. |
MAZIKO YATAFANYIKA KATIKA KANISA LA KKT USHARIKA WA MANOW HALMASHAURI YA BUSOKELO KESHO TAREHE 24.07.2013. "BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE' .............................................................. MFUMO MPYA WA USAJILI WA VIZAZI NA VIFO KUPITIA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO WAZINDULIWA JIJINI MBEYA LEO
Picha ya
pamoja mara baad ya kuuzinduliwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA,imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la
Naibu Waziri
wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya,kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho na wageni mbambali wakilishuhudia tukio hilo adhimu kabisa.Shughuli nzima inaratibiwa na RITA.
Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki
akimkabidhi mmoja wa akina mama aliyejitambulisha kwa jina la Fides
Samson akikabidhiwa cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake mwenye umri chini
ya miaka 5,mara baada ya kuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa
wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali
likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na
Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Baadhi
ya akina mama wakiwa na vyeti vya kuzawaliwa vya watoto wao wanye zaidi
ya wiki mbili tangu kuzaliwa kwao,mara baada ya kabidhiwa leo na Mgeni
Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara baada
ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati
wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla
hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani
Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la
UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la
Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Mgeni rasmi, Naibu
Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizungumza mbele ya
wakazi wa mji wa Mbeya (hawapo pichani) mapema leo wakati alipokuwa
akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa
usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo
imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi ya Wakazi wa jijini Mbeya wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe mapema
leo wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo
kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa
Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda
Nzovwe,jijini Mbeya.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la UNICEF hapa nchini,Dkt.Jamal
Gulaid Mgeni akizungumza mbele ya wakazi wa mji wa Mbeya (hawapo pichani) mapema leo wakati alipokuwa akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi
ya akina mama na watoto wao wakifuatilia kwa makini yalikuwa yakijiri
kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na
vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa
wa Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA imefanyika mapema leo kwenye
Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi ya Wageni waalikwa na wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali ya Kimataifa wakifuatilia uzinduzi
wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili
wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika
mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho akifafanua jambo kwa Baadhi
ya Wakazi wa jijini la Mbeya (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa
mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa
watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika
mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.Aidha Bwa.Mrisho
aliongeza kuwa mkakati huo hauwalengi watoto walio chini ya miaka mitano
tu bali ni sehemu ya mfumo mpya wenye lengo la kuwapa nafasi wananchi
walio zaidi ya miaka mitano kujisajili na kupata vyeti vya kuzaliwa.
Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla (pichani kati) akiwa na Mgeni Rasmi pichani kushoto,Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kwa ajili ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO). |
No comments:
Post a Comment