Monday, July 22, 2013

UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VIZAZI KUPITIA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO WALIO NA UMRI CHINI YA MIAKA MITANO (U5BRI) MKOA WA MBEYA

 .........................................................................

 WILAYA YA RUNGWE MKOANI MBEYA YENYE NEEMA YA MVUA  KWA KIPINDI CHA MWAKA MZIMA, MVUA ZIMEANZA TENA
SEHEMU YA MLIMA RUNGWE KWEYE MASHAMBA YA MAPARACHICHI AMBAPO KILIMO HIKI CHA MAPARACHICHI KITAKUWA MKOMBOZI WA UCHUMI WA WANANCHI WA RUNGWE. HABARI KAMILI INAKUJA NGOJA NIMALIZE ZIARA YANGU HUKU MLIMANI RUNGWE

RUNGWE
MNADA WA NGUO

HAPA SH 800/= NA 1000/= UNAPATA CHUNGU
SEHEMU YA KUKUSANYIA TAKA ZA MJI WA TUKUYU KABLA YA KUPEREKA DAMPO

NIMEPITA KIJIWE HIKI UNAPATA NDIZI TATU NA NYAMA KWA SH 500/=

 ........................................................................................................................

UZINDUZI WA MRADI WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA WATOTO WAZINDULIWA MBEYA

Mgeni rasmi akipokea maandamano 

Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa Mbeya  akihutubia mamia ya wakazi wa mkoa wa Mbeya waliohudhhuria uzinduzi wa mradi wa kupinga ukatili wa kijinsia na watoto(GBV) utakaoendeshwa kwa majaribio kwa muda wa miezi 18 kwenye baadhi ya maeneo ya wilaya sita zilizopo mkoani Mbeya
Mkurugenzi wa shirika la Watel reed kanda ya nyanda za juu kusini Cmeron Garrette akielezea umuhimu wa mradi huo kwa wananchi waliojitokeza katika uzinduzi huo 
Meneja mradi  wotel reed Hijja Wazee akisoma risala mbele ya mgeni rasmi
Mwenyekiti wa dawati la Jinsia na Watoto la Polisi mkoa wa Mbeya Mary Gumbo akisoma ripoti ya utendaji wa dawati hilo ambapo alisema kutokana na uelewa kuongezeka jamii imezidi kujitokeza kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia
Mkurugenzi wa shirika la Watel reed kanda ya nyanda za juu kusini Cmeron Garrette akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya sehemu ya vifaa mbalimbali kwaajili ya wanawake wanaojifungua na watoto wachanga vyenye thamani ya shilingi milioni 300.
Burudani mbali mbali zilikuwepo katika uwanja wa Ruanda Nzovwe
Washindi wa mpira wa miguu timu ya Mwambene wakikabidhiwa kombe na mgeni rasmi baada ya kuishinda timu ya Nonde  katika uzinduzi huo
Mshindi wa kufukuza kuku akipewa mkono wa hongera na mgeni rami michezo mbali mbali ilikuwepo uwanjani hapo 


Picha na Mbeya yetu
 
Post a Comment