Thursday, August 1, 2013

KUTOKA VIWANJA VYA NANENANE MBEYA MUDA HUU: UZINDUZI WA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE KANDA YA JUU KUSINI UNAENDELEA SASA VIWANJA VYA MWAKANGALE MBEYA


  Watu mbalimbali wakiwa katiaka viwanja vya Mwakangale Nane nane kwa ajili ya Kumsikiliza Mgeni Rasmi
 Ebony FM Radio wakiwa LIVE viwanja vya Nanenane
 Kikundi cha TOT Mbeya wakitumbuiza katika Shughuli za uzinduzi wa Nanenane Mbeya
 Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Halison Mwakyembe Katikati akiwa meza kuu pamoja na viongozi mbalimbali
 Viongozi mbalimbali wakiwa katika Meza kuu
Katibu wa TASO Kanda ya nyanda za Juu Kusini Ramadhani Kiboko akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi
Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe akielekea kukagua mambanda Mbalimbali
Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akisalimiana na  Ofisa wa BOT
Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akipokea maelezo kutoka kwa Ofisa wa BOT Mbeya 
Banda la Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika
Hapa ni ndani ya Banda la Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika

 Mgeni Rasmi bado akiendelea na kutembelea
Mgeni Rasmi Dr. Mwakyembe akiendelea kupata maelekezo katika banda hilo
 Baadhi ya Viongozi wa TASO wakitoa maelekezo.
Wananchi mbalimbali wakiwa wanamngoja mgeni Rasmi kuwasili

Viongozi Mbalimbali wakijipanga tayari kwa kumpokea mgeni Rasmi
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla akimpokea Mgeni Rasmi Dr. Harison Mwakyembe

Vijana wa Skauti wakimvalisha skafu mgeni Rasmi baada  ya kuwasili uwanjani
Mgeni Rasmi akipokea Heshima kutoka kwa skauti


Mgeni Rasmi akisalimiana na Viongozi Mbalimbali
Mgeni Rasmi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Nanenane Kanda ya Nyanda za Juu kusini Mbeya
Mgeni Rasmi akiingia uwanjani
Mgeni Rasmi akisaini kitabu cha wageni
Mwenyekiti wa TASO Noel Nkoswe  akisoma taarifa kwa Mgeni Rasmi 
........................................................................................
Post a Comment