MGENI
RASMI NI KAIMU MKUU WA MKOA WA MBEYA MH.CAPT(RTD) ASERI MSANGI WA NNE
KUTOKA KUSHOTO AKIPOKEA MAANDAMANO NA MAONESHO KATIKA UWANJA WA
MWAKANGALE NANE NANE MBEYA
BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI WAKIWA KATIKA SHEREHE ZA NANE NANE HUKU WA TANO KUTOKA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIWA MAKINI KATIKA SHEREHE HII
MWENYEKITI
WA TASO KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI KEPTEN MSTAAFU NKOSWE
AKIMKARIBISHA MGENI RASMI MGENI RASMI NI KAIMU MKUU WA MKOA WA MBEYA
MH.CAPT(RTD) ASERI MSANGI KUONGEA NA WANANCHI KATIKA MAANDHIMISHO YA
SIKUKUU YA NANE NANE
MGENI
RASMI NI KAIMU MKUU WA MKOA WA MBEYA MH.CAPT(RTD) ASERI MSANGI AKITOA
HOTUBA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA NANE NANE KANDA YA
NYANDA ZA JUU KUSINI MKOANI MBEYA
VIONGOZI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKULIMA LEO
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA WANACHUKUA MATUKIO KWA UMAKINI KABISA
MENEJA
WA UWANJA WA MWAKANGALE AMBAPO NDIPO MAONESHO YA NANE NANE YANAFANYIKA
WA PILI KUTOKA KUSHOTO NDUGU KASILATI AKIWA ANAFUATILIA KWA UMAKINI
HOTUBA KUTOKA KWA MGENI RASMI MGENI RASMI NI KAIMU MKUU WA MKOA WA MBEYA
MH.CAPT(RTD) ASERI MSANGI
KIKUNDI CHA MUZIKI KIKIONGOZWA NA MUNG'ONG'O WAKITUMBUIZA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE
WAFANYAKAZI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA MBEYA
KIKUNDI CHA NGOMA KIKITUMBUIZA KATIKA MAADHIMISHO HAYO YA NANE NANE
EBONY FM WAKIWA LIVE MOJA KWA MOJA KULETA TAARIFA ZA MOJA KWA MOJA YA KILE KINACHOENDELEA NANE NANE
KIKUNDI CHA MUZIKI KIKIONGOZWA NA MUNG'ONG'O WAKITUMBUIZA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE
WAFANYAKAZI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA MBEYA
KIKUNDI CHA NGOMA KIKITUMBUIZA KATIKA MAADHIMISHO HAYO YA NANE NANE
UMATI WA WATU MBALIMBALI WALIOFIKA KATIKA SHEREHE ZA NANE NANE MBEYA
MAANDAMANO YAMEANZA KUELEKEA JUKWAA KUU.
WAONGOZAJI WA MAANDAMANO YA SIKU YA WAKULIMA TAIFA .. NANE NANE WAKIWA WANAELEKEA JUKWAA KUU
MBEYA
YETU BLOG KUPITIA TONE MULTIMEDIA GROUP HAWAPO NYUMA WAPO WANAPITA
KUONESHA JINSI WANAVYO FANYA KAZI ZAO ZA MITANDAO NA KUONESHA WANANCHI
KUWA SASA DUNIA NI KIJIJI .
MAKUNDI MBALIMBALI WAKIWA WANAPITA KUELEKEA JUKWAAA KUU
CHUO KIKUUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST ) WAKIELEKEA JUKWAA KUU
WAKULIMA WAKIELEKEA KATIKA JUKWAA KUU
NMB NAO HAWAPO NYUMA KABISA WAKIWA WANAWAKIRISHA NMB CHAP CHAP
PICHA NA MBEYA YETU
No comments:
Post a Comment