Sunday, September 22, 2013

MBEYA CITY FC YAFANYA VEMA UGENINI KWA YAITULIZA SIMBA KWA SARE YA MAGOLI 2-2


 Ikiwa kipindi cha kwanza kinakaribia kuanza sasa Mashabiki wa Mbeya City wakiwa wanashangilia kwa Nguvu zote
 Simba Bila Mbeya City Fc Bila

 Mashabiki wa Pande zote wakingoja mpira kwa hamu kubwa 
 Timu ya Simba na Mbeya City Fc wakiwa wanaingia uwanjani 
 Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanasalimiana na Wachezaji wa Simba kabla ya Mechi kuanza
 
Wachezaji wa Timu zote Mbili wakiomba Dua
 Mpira ukiwa umeanza kwa kasi 

 Hivi ndivyo Walivyo fanya mashambulizi ya kufunga goli la kwanza
 Baada ya Simba kufunga Goli
Mashabiki wa Simba wakishangilia goli la kwanza

 Mashabiki wa Simba wakishangilia Goli la Pili
 Mbeya City Fc wakishangilia Goli lao la kwanza
Wachezaji wakiwa wanatoka kwa ajili ya Mapumziko 

 KIPINDI CHA PILI KIKIWA KINAENDELEA
 MASHABIKI WAKIWA WANAFUATILIA MECHI KWA UKARIBU 
 MBEYA CITY WAKIWA WAMEPATA GOLI LA PILI
 MBEYA CITY FC WAKISHANGILIA GOLI LAO LA PILI
 MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANASHANGILIA GOLI LA PILI


KOCHA MKUU WA MBEYA CITY FC BWANA MWAMBUSI WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO AKIFUATILIA MECHI KWA UMAKINI.
 MASHABIKI WA SIMBA WAKIWA WAMEPOA BAADA YA M BEYA CITY FC KURUDISHA GOLI
 MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WENYE FURAHA 
HAPA ILIKUWA NI PATA SHIKA NGUO KUCHANIKA BAADA YA SHABIKI WA SIMBA KUINGIA ENEO LA MASHABIKI WA YANGA.
 MPIRA UMEKWISHA
 WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA WANATOKA NJE YA UWANJA BAADA YA MPIRA KWISHA
 WACHEZAJI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANATOKA UWANJANI BAADA YA MPIRA KWISHA
 MASHABIKI WALIO TOKA MBEYA KUSHANGILIA MBEYA CITY FC WAKIWA NJE YA UWANJA WAKIENDELEA KUSHANGILIA MPIRA.
Picha na Mwandishi na msimamizi mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph mwaisango wa Kwanza Kushoto akichukua matukio kwa umakini
 
Post a Comment