Tuesday, October 8, 2013

MDAU WA www.kingotanzania.blogspot.com MR & MRS SIMON SONELO AJITOLEA TSH LAKI MBILI KWA AJILI YA MAREKEBISHO YA MILANGO YA OFISI BAADA YA OFISI KUVUNJWA MILANGO NA MUIBA VITENDEA KAZI VYOTE. MUNGU AWABARIKI SANA MLIPOPUNGUZA.


SIMON SONELO AKIWA NA MKEWE ASIGELE MPATE SIKU YA HARUSI YAO ILIYOFANYIKA 11.08.2013
PICHA YA PAMOJA
LAZIMA UFURAHIE SIKU YAKO HAPO MR SONELO AKIWAJIBIKA KUCHEZA KWA FURAHA
BAADA YA KAZI NZITO YA KUCHEZA MR SIMON ANAFUTWA JASHO NA MKEWE

MDAU WA www.kingotanznia.blogspot.com AKILA NONDOZZZZ YAKE YA CPA INAYOTOLEWA NA NBAA TANZANIA, HONGERA SANA SIMON SONELO
KUSHOTO NI MZEE SONELO AKIFURAHIA SIKU MWANAE SIMON SONELO AKIPATA NONDOZZ YA CPA
SIMON SONELO KATIKATI BAADA YA KUPATA NONDOZZZZ YAKE YA CPA AKIPATA PICHA NA MKEWE ASIGELE MPATE ALIYE KULIA KWAKE NA KUSHOTO NI SHEMEJI YAKE BETH MICAH
JENGO LA JUU LA MADIRISHA MATATU NDIO OFISI YA KINGO SUPER PRODUCTION & STATIONARY AMBAPO NDIPO KAZI ZA HABARI, KUANDAA VIPINDI VYA RADIO NA TV VINAFANYIKA, PIA NDIO WAMILIKI WA MTANDAO WA KIJAMII WA www.kingotanzania.blogspot.com.HAPA NDIPO MAJAMBAZI WAMEVUJA MILANGO YOTE NA KUIBA VITENDEA KAZI
KINGOTANZANIA. 0752881456
...............................................
Post a Comment