Tuesday, November 26, 2013

GODFREY SHAO (KARANJA) AAGWA KANISA KUU TUKUYU KKKT NA MAZIKO KUFANYIKA MOSHI . 1944 - 2013

KIFO CHA KARANJA  KIMEWASHITUA WATU WENGI KWAKUWA SIKU YA TUKIO LA KIFO ALIKWENDA DUKANI KUUZA KAMA KAWAIDA NA ALIPOFIKA TUKUA AKAJISIKIA VIBAYA NA KUAMUA KURUDI NYUMBANI HAZIKUZIDI DAKIKA 20 AKAFARIKI DUNIA AKIWA AMEKAA

ALIYESHIKWA NI MKE WA SHAO AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MUMEWE

MAREHEMU GODFREY SHAO WA TUKUYU MBEYA (KARANJA)
MUDA WA SAA SITA MCHANA SAFARI YA KUELEKEA MOSHI KWA MAZISHI YANAYOTARAJIA KUFANYIKA  NYUMBANI KWAKE MOSHI TAREHE 28.11.2013 SAFARI IKAANZA BAADA YA NDUGU NA JAMAA KUSHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KATIKA USHARIKA WA TUKUYU DAYOSISI YA KONDE
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE. AMEN
Post a Comment