Thursday, November 14, 2013

KINANA ATUA MTWARA

* NI MAANDALIZI YA KUANZA ZIARA YA SIKU 22 KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA   MBEYA
* LEO ANAKUTANA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA MSASI.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasilimia baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege mjini Mtwara asubuhi hii, tayari kwa safari ya kwenda katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya kuanza ziara yake ya siku 22 katika mikoa hiyo kesho. Kabla ya kuwasili katika mikoa hiyo, akiwa mkoani Mtwara leo atakutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilayya Masasi.
SOMA ZAIDI....
 
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, wakisalimiana na viongozi wa CCM baada ya kuwasili na Kinana mjini Mtwara asubuhi hii
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali Joseph Simbakalia, Uwanja wa Ndege wa Mtwara
Kinana akiwa na viongozi wa mkoa wa Mtwara.

KINANA AWASILI MASASI AKIELEKEA TUNDURU

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na vijana wa chipikizi wakati alipopokelewa katika kijiji cha Namakongwa  Wilayani Masasi akiwa niani kuelekea Tunduru ambapo ameanza ziara ya siku 22 katika mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Njombe katika kukagua miradi ya maendeleo na kuangalia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho  1a 3 4
Post a Comment